-
Kitabu Kinachotegemeka—Sehemu ya 6Amkeni!—2011 | Aprili
-
-
Hawataacha jiwe juu ya jiwe ndani yako, kwa sababu hukufahamu wakati wa kukaguliwa kwako.”—Luka 19:41-44.
-
-
Kitabu Kinachotegemeka—Sehemu ya 6Amkeni!—2011 | Aprili
-
-
Tito aliamuru kwamba hekalu lihifadhiwe; lakini askari-jeshi mmoja aliliteketeza, kisha likabomolewa jiwe kwa jiwe—kama Yesu alivyokuwa ametabiri. Yosefo anasema kwamba Wayahudi na wageuzwa-imani 1,100,000 hivi walikufa, wengi wao kutokana na njaa na magonjwa, na watu wengine 97,000 wakachukuliwa mateka. Wengi wao walipelekwa Roma kuwa watumwa. Ukitembelea jiji la Rome leo, unaweza kuona uwanja wa Colosseum unaojulikana sana, ambao ulijengwa na Tito baada ya kampeni yake huko Yudea. Pia unaweza kuona Tao la Tito, ambalo ni kumbukumbu la ushindi dhidi ya Yerusalemu.
-