-
Manufaa za Kupenda Neno la MunguMnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 1
-
-
“Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu yake. Basi, alipokuwa akipanda, baadhi ya hizo zikaanguka kando ya barabara zikakanyagwa-kanyagwa, na ndege wa mbinguni wakazila kabisa.
-
-
Manufaa za Kupenda Neno la MunguMnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 1
-
-
9. Ni nini kinachofananishwa na mbegu inayoanguka (a) kando ya barabara? (b) kwenye tungamo-mwamba? (c) kwenye udongo wenye miiba?
9 Yesu alisema kwamba mbegu fulani inaanguka kando ya barabara na kukanyagwa-kanyagwa. Hiyo yarejezea watu ambao wana shughuli nyingi mno hivi kwamba mbegu ya Ufalme haiwezi kuota mizizi katika mioyo yao. Kabla hawajaweza kukuza upendo kwa Neno la Mungu, “Ibilisi huja na kuliondoa lile neno kutoka mioyoni mwao ili wasipate kuamini waokolewe.” (Luka 8:12)
-