Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Arusi Zenye Kuheshimika Machoni pa Mungu na Wanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • Baadaye, huenda walifanya karamu kama ile inayotajwa kwenye Yohana 2:1. Tafsiri nyingi za Biblia zinatafsiri mstari huo hivi: “Palikuwa na arusi huko Kana.” Lakini kwa kufaa neno la awali linatafsiriwa “karamu ya ndoa.”a (Mathayo 22:2-10; 25:10; Luka 14:8) Simulizi hilo linaonyesha wazi kwamba Yesu alikuwapo naye akachangia shangwe kwenye karamu hiyo iliyohusiana na arusi ya Kiyahudi.

  • Arusi Zenye Kuheshimika Machoni pa Mungu na Wanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • a Neno hilohilo linaweza kutumiwa kuhusu karamu ambayo haikuhusiana na ndoa.—Esta 9:22, Septuagint.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki