-
Walimpata Masihi!Mnara wa Mlinzi—2011 | Agosti 15
-
-
17. Maneno ya Zekaria 12:10 na Zaburi 34:20 yalitimia jinsi gani?
17 Masihi angechomwa, lakini mifupa yake haingevunjwa. Wakaaji wa Yerusalemu ‘wangemtazama Yule waliyemchoma.’ (Zek. 12:10)
-
-
Walimpata Masihi!Mnara wa Mlinzi—2011 | Agosti 15
-
-
Akithibitisha maneno hayo, mtume Yohana aliandika hivi: “Mmoja wa hao askari-jeshi akauchoma ubavu wake [wa Yesu] kwa mkuki, na mara moja damu na maji vikatoka. Na [Yohana] ambaye ameona hilo ametoa ushahidi, nao ushahidi wake ni wa kweli . . . Mambo haya yalitendeka kusudi andiko litimizwe: ‘Hakuna mfupa wake hata mmoja utakaovunjwa.’ Na tena, andiko tofauti linasema: ‘Watamtazama Yule waliyemchoma.’”—Yoh. 19:33-37.
-