-
Wakristo Huabudu kwa Roho na KweliMnara wa Mlinzi—2002 | Julai 15
-
-
“Nyinyi mwaabudu kile msichojua; sisi twaabudu kile tujuacho, kwa sababu wokovu hutokana na Wayahudi.
-
-
Wakristo Huabudu kwa Roho na KweliMnara wa Mlinzi—2002 | Julai 15
-
-
2. Ibada ya Wasamaria ilitegemea nini?
2 Wasamaria walikuwa na maoni ya kidini yasiyo ya kweli. Walikubali tu vitabu vitano vya kwanza vya Maandiko Matakatifu kuwa ndivyo vilivyoandikwa kwa mwongozo wa roho ya Mungu. Lakini walikubali tafsiri yao wenyewe ya vitabu hivyo, iliyoitwa Pentateuki ya Wasamaria. Ingawa Wasamaria hawakumjua Mungu, Wayahudi walikuwa wamefundishwa Maandiko. (Waroma 3:1, 2)
-