Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Yohana
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Aprili 15
    • 6:53—Ni nini maana ya mtu kuwa na “uzima ndani yake mwenyewe”?

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Yohana
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Aprili 15
    • Kwa upande wa wafuasi wa Yesu, ‘kuwa na uhai ndani yao wenyewe’ kunamaanisha kupata uhai kamili. Wakristo waliotiwa mafuta wanapata uhai huo wanapofufuliwa kuishi mbinguni. Waaminifu wenye tumaini la kuishi duniani watapata uhai kamili baada ya kupita jaribu la mwisho ambalo litatukia punde tu baada ya Utawala wa Miaka Elfu wa Kristo.—1 Kor. 15:52, 53; Ufu. 20:5, 7-10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki