-
‘Kaeni Katika Neno Langu’Mnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
-
-
“Mkikaa katika neno langu, ninyi kwa kweli ni wanafunzi wangu, nanyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka ninyi huru.”—YOHANA 8:31, 32.

Inamaanisha Nini? “Neno” la Yesu linamaanisha mafundisho yake, ambayo chanzo chake ni cha juu zaidi. Yesu alisema: “Baba mwenyewe aliyenituma amenipa amri kuhusu jambo la kutangaza na la kusema.” (Yohana 12:49) Alipokuwa akisali kwa Baba yake wa mbinguni, Yehova Mungu, Yesu alisema: “Neno lako ni kweli.” Alinukuu Neno la Mungu mara nyingi ili kuunga mkono mafundisho yake. (Yohana 17:17; Mathayo 4:4, 7, 10)
-