Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kupambana Sana kwa Ajili ya Habari Njema Huko Thesalonike
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
    • Kwa kawaida Paulo alipofika katika jiji, alikuwa akianza kuzungumza na Wayahudi kwa sababu walifahamu Maandiko na hivyo angeweza kuyatumia katika mazungumzo yake na kuwasaidia kuelewa habari njema. Msomi fulani anadokeza kwamba huenda Paulo alifanya hivyo kwa kuwa aliwajali sana watu wa nchi yake au alitaka kuwatumia Wayahudi na watu waliomwogopa Mungu ili kuanza kazi yake ya kuwafikia Watu wa Mataifa.​—Matendo 17:2-4.

      Hivyo alipofika Thesalonike, Paulo aliingia katika sinagogi, na “akajadiliana nao [Wayahudi] kwa kutumia Maandiko, akieleza na kuthibitisha kwa marejeo kwamba ilikuwa lazima Kristo ateseke na kufufuliwa kutoka kwa wafu, akisema: ‘Huyu ndiye Kristo, Yesu huyu ninayewatangazia ninyi.’”​—Matendo 17:2, 3, 10.

  • Kupambana Sana kwa Ajili ya Habari Njema Huko Thesalonike
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
    • Ili afaulu kuwashawishi Wayahudi, Paulo ‘alijadiliana,’ ‘akaeleza,’ na ‘kuthibitisha kwa kurejelea’ Maandiko—mbinu inayotumiwa na mwalimu mwenye ustadi.a

  • Kupambana Sana kwa Ajili ya Habari Njema Huko Thesalonike
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
    • a Huenda Paulo alirejelea maandiko ambayo sasa yanajulikana kama Zaburi 22:7; 69:21; Isaya 50:6; 53:2-7; na Danieli 9:26.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki