Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Soma Neno la Mungu na Umtumikie Katika Kweli
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Mei 15
    • Wayahudi katika Beroya “walikuwa waungwana kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa walilipokea lile neno kwa uelekevu wa moyo, wakayachunguza maandiko kila siku, waone kwamba mambo hayo [yaliyosemwa na Paulo] ndivyo yalivyo.” Waberoya walipongezwa badala ya kushutumiwa kwa kufanya hivyo.—Matendo 17:10, 11.

  • Soma Neno la Mungu na Umtumikie Katika Kweli
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Mei 15
    • Hivyo, Wathesalonike na Waberoya waliweza kuhakikisha mambo yote, yaelekea kwa kuchunguza fasiri ya Septuagint ya lugha ya Kigiriki ya Maandiko ya Kiebrania. Wao walihitaji kusoma na kujifunza Maandiko, na ndivyo ilivyo na sisi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki