-
Kwa Nini Sauli Alinyanyasa Wakristo?Mnara wa Mlinzi—1999 | Juni 15
-
-
Hata hivyo, ni nini kimaanishwacho na Sauli ‘kutupa kura yake’—awe alikuwa mshiriki wa mahakama au mtu aliyeunga mkono kuuawa kwa Wakristo—hatuwezi kuwa na uhakika.a
-
-
Kwa Nini Sauli Alinyanyasa Wakristo?Mnara wa Mlinzi—1999 | Juni 15
-
-
a Kulingana na kitabu The History of the Jewish People in the Age of Jesus Christ (175 B.C.–A.D. 135), cha Emil Schürer, ingawa Mishnah haielezi chochote kuhusu taratibu za Sanhedrini Kuu, au Sanhedrini yenye Watu Sabini na Mmoja, taratibu za zile Sanhedrini ndogo, zenye watu 23, zimeelezwa kinaganaga. Wanafunzi wa sheria wangeweza kuhudhuria kesi za mauaji zilizoshughulikiwa na Sanhedrini ndogo, ambapo waliruhusiwa kumtetea mshtakiwa wala si kusema dhidi yake. Katika kesi zisizohusisha kosa la mauaji, wangeweza kufanya yote hayo.
-