Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Nyakati za Kurudishwa” Zimekaribia!
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Septemba 1
    • na kwamba apate kumtuma Kristo aliyewekwa rasmi kwa ajili yenu, Yesu,

  • “Nyakati za Kurudishwa” Zimekaribia!
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Septemba 1
    • Petro alitabiri kwamba wakati huo Yehova ‘angemtuma’ Mwana wake katika maana ya kwamba Yeye angemruhusu Yesu atimize fungu lake akiwa mhusika mkuu katika makusudi ya Mungu. Biblia hufafanua tukio hilo kwa lugha ya ufananisho: “Naye [tengenezo la kimbingu la Mungu] akazaa mwana, wa kiume, [Ufalme wa Mungu mikononi mwa Yesu Kristo] atakayechunga mataifa yote kwa fimbo ya chuma.”—Ufunuo 12:5.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki