Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa Kale
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • Miaka 900 hivi baada ya Njia ya Apio kujengwa, Procopius, mwanahistoria wa Byzantium alisema barabara hiyo ni ya “ajabu.” Aliandika hivi kuhusu mawe ya juu ya barabara hiyo: “Licha ya muda mrefu kupita na barabara hiyo kutumiwa sana na magari siku baada siku, bado mawe yake hayajabadilika na yangali laini.”

  • Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa Kale
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • Paulo alielekea Roma akitumia Njia ya Apio ili akutane na waamini wenzake kwenye Soko la Apio lenye shughuli nyingi, kilometa 74 kusini mashariki ya Roma. Wengine walimngoja kwenye kituo cha mapumziko cha Mikahawa Mitatu, kilometa 14 karibu na Roma. (Matendo 28:13-15)

  • Barabara za Roma Kumbukumbu za Uinjinia wa Kale
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • [Picha katika ukurasa wa 17]

      Paulo alikutana na waamini wenzake kwenye Soko la Apio lenye shughuli nyingi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki