Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • Waroma 9:14-

  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • ili apate kujulisha utajiri wa utukufu wake juu ya vyombo vya rehema, alivyotayarisha kimbele kwa ajili ya utukufu,

  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • 10. Kwa nini Yehova amewastahimili waovu kwa miaka 1,900 iliyopita?

      10 Tangu Yesu alipofufuliwa zaidi ya miaka 1,900 iliyopita, Yehova amekuwa akistahimili “vyombo vya hasira,” akiahirisha uharibifu wao. Kwa nini? Kwanza, ni kwa sababu amekuwa akiwatayarisha wale ambao watatawala pamoja na Yesu Kristo katika Ufalme wake wa mbinguni. Watu hao 144,000, ni “vyombo vya rehema” ambavyo vinatajwa na mtume Paulo. Wayahudi ndio walioalikwa kwanza wawe washiriki wa jamii hiyo ya kimbingu. Baadaye, Mungu aliwaalika watu wasio Wayahudi. Yehova hajamlazimisha yeyote kati yao amtumikie. Lakini aliwapa baadhi ya wale waliothamini mipango yake nafasi ya pekee ya kutawala pamoja na Mwanaye katika Ufalme wa mbinguni. Sasa matayarisho ya jamii hiyo ya kimbingu yanakaribia kumalizika.—Luka 22:29; Ufunuo 14:1-4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki