-
Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
-
-
yaani, sisi, alioita si kutoka miongoni mwa Wayahudi tu bali pia kutoka miongoni mwa mataifa, kuna ubaya gani?”—Waroma 9:14-24.
-
-
Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
-
-
Wayahudi ndio walioalikwa kwanza wawe washiriki wa jamii hiyo ya kimbingu. Baadaye, Mungu aliwaalika watu wasio Wayahudi. Yehova hajamlazimisha yeyote kati yao amtumikie. Lakini aliwapa baadhi ya wale waliothamini mipango yake nafasi ya pekee ya kutawala pamoja na Mwanaye katika Ufalme wa mbinguni. Sasa matayarisho ya jamii hiyo ya kimbingu yanakaribia kumalizika.—Luka 22:29; Ufunuo 14:1-4.
-