-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Na hili ndilo agano kwa upande wangu pamoja nao, niondoleapo mbali dhambi zao.” (Waroma 11:26, 27)
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19. Yehova anafanya agano gani pamoja na Israeli wa Mungu?
19 Sasa Yehova anafanya agano pamoja na Israeli wa Mungu. Tunasoma hivi: “Tena katika habari zangu, hili ndilo agano langu nao, asema BWANA;
-