Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwigeni Yehova, Mungu Wetu Asiye na Ubaguzi
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 15
    • 11. Kutendea watu bila ubaguzi kulionyeshwaje katika kutaniko la kwanza la Kikristo?

      11 Katika kutaniko la kwanza la Kikristo, Wayahudi na watu wa mataifa walikuwa sawasawa. Paulo alieleza hivi: “Utukufu na heshima na amani kwa kila mtu afanyaye lililo jema, kwa Myahudi kwanza na pia kwa Mgiriki. Kwa maana hakuna ubaguzi kwa Mungu.”b (Waroma 2:10, 11) Kile kilichoamua kama wangenufaika na fadhili zisizostahiliwa za Yehova, si asili yao, bali ni jinsi walivyotenda baada ya kujifunza kumhusu Yehova na matarajio yaliyotolewa na fidia ya Mwana wake Yesu. (Yohana 3:16, 36)

  • Mwigeni Yehova, Mungu Wetu Asiye na Ubaguzi
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 15
    • b Hapa, neno “Wagiriki” linamaanisha watu wa Mataifa kwa ujumla.—Insight on the Scriptures, kilichochapishwa na Mashahidi wa Yehova, Buku la Kwanza, ukurasa wa 1004.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki