Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tembea Kupatana na Roho ili Upate Uzima na Amani
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Novemba 15
    • Paulo alionyesha kwamba kupitia roho ya Mungu na dhabihu ya ukombozi ya Mwana wake, Mungu ametimiza jambo fulani ambalo Sheria ya Musa haingeweza kutimiza.

      8 Sheria, pamoja na amri zake nyingi, ziliwahukumu watenda-dhambi. Zaidi ya hayo, makuhani wakuu wa Israeli waliotumika chini ya Sheria hawakuwa wakamilifu na hawangeweza kutoa dhabihu ya kufunika dhambi kikamili. Hivyo, Sheria ilikuwa “dhaifu kupitia mwili.” Lakini “kwa kumtuma Mwana wake mwenyewe akiwa katika mfano wa mwili wenye dhambi” na kwa kumtoa kuwa dhabihu ya ukombozi, Mungu “aliihukumu dhambi katika mwili,” na hivyo kushinda tatizo la ‘Sheria kutokuwa na uwezo.’

  • Tembea Kupatana na Roho ili Upate Uzima na Amani
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Novemba 15
    • Waroma 8:3,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki