Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Neno la Kiaramu ʼab·baʼʹ linaweza kumaanisha “baba” au “Ee Baba.” Linapatikana mara tatu katika Maandiko katika sala mbalimbali na linarejelea Baba wa mbinguni, Yehova. Neno hilo lilimaanisha nini Yesu alipokuwa duniani?

      Kitabu kimoja (The International Standard Bible Encyclopedia) kinasema hivi: “Katika mazungumzo ya kawaida katika siku za Yesu, neno ʼabbāʼ lilitumiwa hasa na watoto wenye heshima waliokuwa na uhusiano wa karibu na baba zao.” Neno ʼabbāʼ lilitumiwa na mtoto alipozungumza na baba aliyempenda na lilikuwa kati ya maneno ya kwanza ambayo mtoto alijifunza.

  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Aprili 1
    • Katika maandishi ya Paulo tunapata maandiko mawili yaliyo na neno “Abba” yanayoonyesha kwamba Wakristo wa karne ya kwanza pia walilitumia katika sala zao.—Waroma 8:15; Wagalatia 4:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki