Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kungoja kwa “Taraja Lenye Hamu”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Septemba 15
    • Kwa maana viumbe vilitiishwa chini ya ubatili, si kwa mapenzi yavyo vyenyewe bali kupitia yeye aliyevitiisha hivyo, juu ya msingi wa tumaini

  • Kungoja kwa “Taraja Lenye Hamu”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Septemba 15
    • —Waroma 8:14-21; 2 Timotheo 2:10-12.

      13 Kupitia dhambi ya Adamu, wazao wake wote “[wa]litiishwa chini ya ubatili,” wakizaliwa katika utumwa wa dhambi na kifo. Wameshindwa kujiweka huru kutoka katika utumwa huo. (Zaburi 49:7; Waroma 5:12, 21) Lo, kondoo wengine wana hamu iliyoje ya “[ku]wekwa huru kutoka katika utumwa wa uharibifu”! Lakini kabla ya jambo hilo kutokea, mambo fulani lazima yatukie kulingana na nyakati na majira ya Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki