Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • Halafu anasema: “Basi, ikiwa Mungu, ingawa anayo nia ya kuonyesha hasira ya kisasi yake na kujulisha nguvu yake, alivumilia kwa ustahimilivu mwingi vyombo vya hasira ya kisasi vilivyofanywa kufaa kwa ajili ya uharibifu,

  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • Waroma 9:14-

  • Kwa Nini Mungu Ameruhusu Uovu?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • 9. (a) “Vyombo vya hasira ya kisasi vilivyofanywa kufaa kwa ajili ya uharibifu” ni nani? (b) Kwa nini Yehova ameonyesha ustahimilivu mwingi sana kwa wapinzani wake, na matokeo yatawafaidije wale wanaompenda?

      9 Tangu uasi ulipotukia Edeni, watu wote ambao wamempinga Yehova na sheria zake wamekuwa “vyombo vya hasira ya kisasi vilivyofanywa kufaa kwa ajili ya uharibifu.” Tangu wakati huo, Yehova ameonyesha ustahimilivu mwingi. Watu waovu wamedhihaki njia zake, wamewatesa watumishi wake, na hata walimuua Mwanaye. Lakini Yehova amejizuia sana na kuruhusu muda wa kutosha ili viumbe wote waone matokeo mabaya ya kumwasi na vilevile ya utawala wa wanadamu. Wakati huohuo, kifo cha Yesu kilikuwa njia ya kuwakomboa wanadamu watiifu na ‘kuvunja-vunja kazi za Ibilisi.’—1 Yohana 3:8; Waebrania 2:14, 15.

      10. Kwa nini Yehova amewastahimili waovu kwa miaka 1,900 iliyopita?

      10 Tangu Yesu alipofufuliwa zaidi ya miaka 1,900 iliyopita, Yehova amekuwa akistahimili “vyombo vya hasira,” akiahirisha uharibifu wao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki