-
Mlo wa Jioni wa Bwana Huadhimishwaje?Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
-
-
MTUME Mkristo Paulo anaandika hivi anapotoa ufafanuzi kuhusu kuadhimisha Mlo wa Jioni wa Bwana: “Nilipokea kutoka kwa Bwana kile nilichowapa ninyi pia, kwamba Bwana Yesu katika ule usiku aliokuwa akienda kutolewa alichukua mkate
-
-
Mlo wa Jioni wa Bwana Huadhimishwaje?Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
-
-
Kama Paulo anavyosema, Yesu alianzisha Mlo wa Jioni wa Bwana “katika ule usiku [Yesu] aliokuwa akienda kutolewa” na Yuda Iskariote kwa viongozi wa dini ya Kiyahudi waliowalazimisha Waroma wamtundike Kristo. Mlo huo uliadhimishwa Alhamisi jioni, Machi 31, 33 W.K. Yesu alikufa kwenye mti wa mateso Ijumaa alasiri, Aprili 1. Kwa kuwa siku za kalenda ya Wayahudi zilianza jioni hadi jioni ya siku iliyofuata, Mlo wa jioni wa Bwana na kifo cha Yesu Kristo kilitukia siku hiyohiyo, yaani, Nisani 14, 33 W.K.
-