Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Wafu Watafufuliwa”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
    • Baada ya hilo alionekana kwa Yakobo, kisha kwa mitume wote;

  • “Wafu Watafufuliwa”
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Julai 1
    • 10. (a) Mkutano wa mwisho wa Yesu pamoja na wanafunzi wake ulikuwa na matokeo gani? (b) Yesu alionekanaje kwa Paulo “kama kwamba kwa mmoja aliyezaliwa kabla ya wakati”?

      10 Shahidi mwingine mwenye kutokeza wa ufufuo wa Yesu alikuwa Yakobo, mwana wa Yosefu na Maria, mama yake Yesu. Kabla ya huo ufufuo ni wazi kwamba Yakobo hakuwa amekuwa mwamini. (Yohana 7:5) Lakini baada ya Yesu kuonekana kwake, Yakobo akawa mwamini na labda akatimiza fungu fulani katika kugeuza imani ya ndugu zake. (Matendo 1:13, 14) Katika mkutano wake wa mwisho pamoja na wanafunzi wake, wakati alipopaa kwenda mbinguni, Yesu aliwapa utume wa ‘kuwa mashahidi wake hadi sehemu ya mbali zaidi sana ya dunia.’ (Matendo 1:6-11)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki