-
“Mungu Hupenda Mpaji Mchangamfu”Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Kwa Wakorintho, Paulo aliandika: “Kama vile nilivyoyapa maagizo makutaniko ya Galatia, nyinyi wenyewe pia fanyeni kwa njia hiyohiyo.
-
-
“Mungu Hupenda Mpaji Mchangamfu”Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
a Ingawa Paulo ‘alitoa maagizo,’ hilo halimaanishi kwamba alitoa madai ya lazima, yasiyo na msingi maalumu. Badala yake, Paulo alikuwa tu akisimamia mchango, uliohusisha makutaniko kadhaa.
-