-
“Mungu Hupenda Mpaji Mchangamfu”Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Kila siku ya kwanza ya juma acheni kila mmoja wenu kwenye nyumba yake mwenyewe aweke kando kitu fulani katika akiba kama aelekeavyo kuwa anafanikiwa.”a—1 Wakorintho 16:1, 2.
-
-
“Mungu Hupenda Mpaji Mchangamfu”Mnara wa Mlinzi—1998 | Novemba 1
-
-
Kwa kuongezea, Paulo alisema kwamba kila mmoja “kwenye nyumba yake” angetoa “kama aelekeavyo kuwa anafanikiwa.” Yaani, kila mchango ungetolewa faraghani na kwa hiari. Hakuna aliyelazimishwa.
-