-
Yehova Ni Bwana Wetu Mwenye Enzi Kuu!Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 15
-
-
(Soma 1 Wakorintho 10:6-10.)
-
-
Yehova Ni Bwana Wetu Mwenye Enzi Kuu!Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 15
-
-
18 Mapema, Musa alipokuwa akipokea Sheria juu ya Mlima Sinai, Waisraeli walianza kuabudu sanamu, wakajiingiza katika ibada ya ndama na raha za kimwili. Jaribu hilo halikuzuiwa kwa sababu kiongozi wao aliyeonekana hakuwepo. (Kut. 32:1, 6) Kabla tu ya kuingia katika Nchi ya Ahadi, maelfu ya Waisraeli walishawishiwa na wanawake Wamoabu, na wakafanya uasherati pamoja nao. Katika pindi hiyo, maelfu ya Waisraeli walikufa kwa sababu ya dhambi yao. (Hes. 25:1, 9)
-