-
Yehova Ni Bwana Wetu Mwenye Enzi Kuu!Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 15
-
-
(Soma 1 Wakorintho 10:6-10.)
-
-
Yehova Ni Bwana Wetu Mwenye Enzi Kuu!Mnara wa Mlinzi—2010 | Novemba 15
-
-
Waisraeli hata walinung’unika baada ya kuharibiwa kwa Kora, Dathani, Abiramu, na marafiki wao wengine waliokuwa waovu, wakifikiri kimakosa kwamba uharibifu wa waasi hao haukuwa wa haki. Matokeo ni kwamba, Waisraeli 14,700 waliuawa kwa tauni iliyotoka kwa Mungu.—Hes. 16:41, 49.
-