-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2010 | Agosti 1
-
-
Kwa maana kwa Mungu sisi ni harufu tamu ya Kristo katikati ya wale wanaookolewa na katikati ya wale wanaoangamia; kwa hawa wa mwisho ni harufu inayotoka katika kifo mpaka kifo, kwa wale wa kwanza ni harufu inayotoka katika uzima mpaka uzima.”—2 Wakorintho 2:14-16.
-
-
Je, Wajua?Mnara wa Mlinzi—2010 | Agosti 1
-
-
Kitabu kimoja cha marejeo (The International Standard Bible Encyclopedia) kinasema kuwa maneno “harufu tamu ya Kristo” yanayotumiwa kuonyesha kuwa watu fulani wangekufa na wengine kuendelea kuishi, ‘huenda yanatokana na zoea la Waroma la kuvukiza uvumba wakati wa maandamano hayo. Harufu ya uvumba ambayo iliwakilisha ushindi kwa jemadari na jeshi lake, iliwakumbusha wale wafungwa, kuhusu kifo ambacho huenda kingewapata.’a
-