-
Hii Ndiyo Siku ya Wokovu!Mnara wa Mlinzi—1998 | Desemba 15
-
-
Kwa maana ikiwa tulikuwa tumerukwa na akili yetu, ilikuwa kwa ajili ya Mungu; ikiwa tuko timamu katika akili, ni kwa ajili yenu.” (2 Wakorintho 5:12, 13)
-
-
Hii Ndiyo Siku ya Wokovu!Mnara wa Mlinzi—1998 | Desemba 15
-
-
5 Je, Paulo mwenyewe hakujisifu? Huenda wengine wakawa walifikiri hivyo kwa sababu ya mambo aliyosema juu ya kuwa mtume. Lakini alipaswa kujisifu “kwa ajili ya Mungu.” Alijisifia ustahili wake akiwa mtume, ili Wakorintho wasimwache Yehova. Paulo alifanya hivyo ili kuwarudisha kwa Mungu kwa sababu mitume wasio wa kweli walikuwa wakiwapotosha. (2 Wakorintho 11:16-21; 12:11, 12, 19-21; 13:10) Hata hivyo, Paulo hakuwa akijaribu daima kuvutia kila mtu kwa mafanikio yake.—Mithali 21:4.
-