-
Mambo Makuu Katika Barua kwa Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, na WakolosaiMnara wa Mlinzi—2008 | Agosti 15
-
-
6:2—“Sheria ya Kristo” ni nini? Sheria hiyo inahusisha mambo yote ambayo Yesu alifundisha na kuamuru. Inatia ndani hasa amri ya ‘kupendana.’—Yoh. 13:34.
-