Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Nyota” zilizopakwa mafuta, pamoja na wengine wote wa wapakwa-mafuta, wanakaa katika mahali pa kimbingu katika maana ya kiroho kutoka wakati ambao wao wanatiwa muhuri kwa roho takatifu hiyo ikiwa dalili ya urithi wao wa kimbingu. (Waefeso 2:6, 7)

  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 31. (a) Ni lini viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo walipoanguka kutoka cheo cha “kimbingu”? (b) Maji ambayo viongozi wa kidini wanatoa yamegeukaje yakawa “pakanga,” na kukiwa na tokeo gani kwa wengi?

      31 Wakati viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo walipoasi Ukristo wa kweli, wao walianguka kutoka cheo kilichotukuka cha “kimbingu” kinachoelezwa na Paulo kwenye Waefeso 2:6, 7, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki