Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unaweza Kupata Amani Katika Ulimwengu Huu Wenye Misukosuko?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Wafilipi 4:4,

  • Je, Unaweza Kupata Amani Katika Ulimwengu Huu Wenye Misukosuko?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • “Shangilieni sikuzote katika Bwana. Mara nyingine tena nitasema, Shangilieni!

  • Je, Unaweza Kupata Amani Katika Ulimwengu Huu Wenye Misukosuko?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Paulo alipoandika maneno hayo, alikuwa amefungwa gerezani isivyo haki huko Roma. (Wafilipi 1:13) Badala ya kulalamika kwa sababu ya kutendewa isivyo haki, aliwatia moyo waamini wenzake washangilie sikuzote katika Bwana. Ni wazi kwamba shangwe yake haikutegemea hali zake, bali ilitegemea uhusiano wake pamoja na Mungu. Sisi pia tunahitaji kujifunza kufurahia kumtumikia Mungu hata hali zetu ziwe namna gani. Kadiri tunavyomjua Yehova vizuri zaidi na kufanya mapenzi yake kikamili, ndivyo tutakavyofurahia kumtumikia. Kufanya hivyo, kutatuletea uradhi na amani ya moyoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki