-
Wachukiwa kwa Sababu ya Imani YaoMnara wa Mlinzi—1998 | Desemba 1
-
-
Hata washiriki fulani wa “nyumbani mwa Kaisari” wakawa Wakristo.a (Wafilipi 4:22)
-
-
Wachukiwa kwa Sababu ya Imani YaoMnara wa Mlinzi—1998 | Desemba 1
-
-
a Si lazima usemi “nyumbani mwa Kaisari” uwe warejezea washiriki wa karibu wa familia ya Nero, aliyekuwa akitawala wakati huo. Badala yake, huenda ukarejezea watumishi wa nyumbani na maofisa wa vyeo vya chini, ambao yawezekana walitoa utumishi wa nyumbani kama vile kupika na kusafisha kwa niaba ya familia ya kifalme na wafanyakazi wao.
-