Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unafuata “Njia Iliyo Bora Zaidi” Ya Upendo?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 15
    • Neno la Kigiriki stor·geʹ lilitumiwa mara nyingi kurejelea upendo wa asili kati ya washiriki wa familia ileile. Wakristo wanajitahidi kuwapenda washiriki wa familia yao. Paulo alitabiri kwamba katika siku za mwisho, kwa ujumla watu ‘hawangekuwa na upendo wa asili.’b—2 Tim. 3:1, 3.

      Inahuzunisha kwamba upendo wa asili ambao unapaswa kuwapo kati ya washiriki wa familia unakosekana katika ulimwengu wa leo. Kwa nini wanawake wengi wajawazito wanatoa mimba? Kwa nini familia nyingi sana zinawapuuza wazazi wao waliozeeka? Kwa nini talaka zinazidi kuongezeka? Kwa kweli jibu ni kwamba watu hao hawana upendo wa asili.

  • Je, Unafuata “Njia Iliyo Bora Zaidi” Ya Upendo?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 15
    • b Maneno “wasio na upendo wa asili” yametafsiriwa kutokana na aina fulani ya neno stor·geʹ ambalo lina maana isiyofaa, yaani, ‘kutokuwa na.’—Ona pia Waroma 1:31.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki