Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Eunike na Loisi—Waelimishaji Walio Vielelezo Bora
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Mei 15
    • Hata hivyo, Eunike hakuwa peke yake katika itikadi zake. Yaonekana kwamba Timotheo alipokea maagizo katika “maandishi matakatifu” kutoka kwa mama yake na kutoka kwa nyanya yake wa upande wa mama, Loisi.a Mtume Paulo alimhimiza sana Timotheo hivi: “Endelea katika mambo uliyojifunza na uliyoshawishwa kuamini, ukijua ni kutoka kwa watu gani ulijifunza hayo

  • Eunike na Loisi—Waelimishaji Walio Vielelezo Bora
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Mei 15
    • Timotheo ‘alishawishwa kuamini’ kweli za Maandiko. Kulingana na kamusi moja ya Kigiriki, neno alilotumia Paulo hapa humaanisha “kushawishiwa kwa uthabiti; kuhakikishiwa” kitu fulani. Bila shaka, wakati na jitihada kubwa zilihitajiwa ili kukaza usadikisho huo ndani ya moyo wa Timotheo, ukimsaidia kusababu juu ya Neno la Mungu na kudhihirisha imani katika hilo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki