Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Kweli Una Imani Katika Habari Njema?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Januari 15
    • Kwa mfano, tuseme kwamba hatujui jinsi ya kushughulika na jaribu fulani. Neno la Mungu hutupatia ushauri huu: “Ikiwa yeyote kati yenu anakosa hekima, acheni afulize kumwomba Mungu, kwa maana yeye huwapa wote kwa ukarimu na bila kushutumu; naye atapewa hiyo.

  • Je, Kweli Una Imani Katika Habari Njema?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Januari 15
    • Yakobo 1:5

  • Je, Kweli Una Imani Katika Habari Njema?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Januari 15
    • 10 Yehova Mungu hatatushutumu kwa kukosa hekima au kwa kusali tuipate. Badala yake, atatusaidia tulione jaribu hilo kwa njia inayofaa. Huenda tukapata msaada wa Kimaandiko kutoka kwa waamini wenzetu au tunapojifunza Biblia. Au huenda roho takatifu ya Yehova ikatuongoza kwa njia nyingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki