-
Naweza Kukabilianaje na Dhihaka Kali?Amkeni!—1999 | Juni 22
-
-
Tatizo hilo si jipya. Kwa kweli, mtume Petro aliwaambia Wakristo wa karne ya kwanza hivi: “Kwa sababu nyinyi hamwendelei kukimbia pamoja nao [watu wa mataifa] . . . , wao watatanishwa na kuendelea kuwasema nyinyi kwa maneno yenye kuudhi.” (1 Petro 4:4) Tafsiri nyingine husema, wao “huwatukana” (Knox) au, “Huwafedhehesha nyinyi.”—Today’s English Version.
-
-
Naweza Kukabilianaje na Dhihaka Kali?Amkeni!—1999 | Juni 22
-
-
Kwa upande mwingine, wadhihaki wengine, “hutatanishwa” kama Petro alivyoandika. Naam, huenda wakaduwazwa kihalisi na mwenendo wako. Kwa mfano, ikiwa wewe ni mmoja wa Mashahidi wa Yehova, kwa kweli huenda wakaliona kuwa jambo la ajabu kwa sababu hushiriki shughuli zinazohusianishwa na sikukuu fulani. Huenda hata wakawa wamepokea habari iliyopotoka juu ya Mashahidi kutoka kwa wapinzani wa dhati.
-