Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
    • Katika mwaka wa 1914—bila shaka muda mrefu baada ya 33 W.K.—kuwapo kwa Kristo Yesu akiwa mfalme kulianza. Mnamo mwaka wa 1918, miaka mitatu na nusu baadaye, alikuja kwenye hekalu la Mungu la kiroho na kutimiza maneno haya ya Petro: “Ni wakati uliowekwa wa hukumu kuanza na nyumba ya Mungu.” (1 Petro 4:17; Malaki 3:1) Ulikuwa wakati wa kufanya hesabu.

  • ‘Yule Mtumwa Mwaminifu’ Apita Mtihani wa Ukaguzi!
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 1
    • Katika mwaka wa 1918 ‘alikuja’ akiwa mjumbe wa agano na kuanza kuwahukumu wale waliodai kumtumikia Yehova. (Malaki 3:1-3; 1 Petro 4:17)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki