Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Unamwiga Yehova Katika Kuwajali Wengine?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Juni 15
    • “Lichungeni kundi la Mungu lililo chini ya uangalizi wenu, si kwa kulazimishwa, bali kwa kupenda; wala si kwa kupenda pato lisilo la haki, bali kwa hamu;

  • Je, Unamwiga Yehova Katika Kuwajali Wengine?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Juni 15
    • 1 Petro 5:2,

  • Je, Unamwiga Yehova Katika Kuwajali Wengine?
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Juni 15
    • Ndiyo, kazi ya wazee ni kama ile ya wachungaji. Wazee Wakristo wanapaswa kuwatunza wale walio wagonjwa kiroho na kuwarekebisha ili waishi kupatana na viwango vya uadilifu. Wazee wana wajibu wa kupanga shughuli za kutaniko, kufanya mipango kwa ajili ya mikutano, na kudumisha utaratibu kutanikoni.—1 Wakorintho 14:33.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki