Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Iweke Karibu Akilini Siku ya Yehova
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • 5. Kulingana na maelezo ya Petro, ni mabadiliko gani yatakayotukia katika siku ya Yehova?

      5 Petro pia anatushauri tuweke karibu akilini “kuwapo kwa siku ya Yehova, ambayo kupitia kwayo mbingu zikiwa zimewaka moto zitafumuliwa na elementi zikiwa moto sana zitayeyuka.” Serikali zote za wanadamu—“mbingu”—zitaharibiwa, ndivyo na wanadamu wote waovu—“dunia”—pamoja na “elementi” zake, yaani, mawazo na matendo ya ulimwengu huu mwovu, kama vile mwelekeo wake wa kutomtegemea Mungu na ukosefu wake wa adili na kupenda mno vitu vya kimwili.

  • Iweke Karibu Akilini Siku ya Yehova
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
    • 2 Petro 3:10-

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki