Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Neno la Mungu Hudumu Milele
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
    • (3) Karne ya nne W.K., katika maandiko ya Kilatini, mtetea-Utatu mwenye bidii kupita kiasi kwa wazi aliongeza maneno “mbinguni, Baba, Neno, na roho mtakatifu; na watatu hawa ni mmoja” kana kwamba hayo yalikuwa nukuu kutoka 1 Yohana 5:7. Baadaye fungu hilo lilitiwa ndani katika maandishi ya hati ya Biblia ya Kilatini.

  • Neno la Mungu Hudumu Milele
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 1
    • Kwa habari ya maandishi ya ziada kwenye 1 Yohana 5:7 ili kutegemeza Utatu na kwenye Matendo 13:2 ili kuthibitisha uhalali wa Misa, hayo hayakubadili lililo kweli. Na punde si punde udanganyifu huo mbalimbali ulifichuliwa kabisa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki