Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana Aona Yesu Aliyetukuzwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • ikisema: ‘Unachoona andika katika hati-kunjo na kuipeleka kwenye makundi saba, katika Efeso na katika Smirna na katika Pargamamu na katika Thiatira na katika Sardisi na katika Filadelfia na katika Laodikia.’” (Ufunuo 1:10b, 11) Sauti yenye mamlaka na yenye kuamrisha kama ya tarumbeta, inamwambia Yohana aandikie “makundi saba.” Yeye atapokea mfululizo wa jumbe na kutangaza vitu atakavyoona na kusikia. Angalia kwamba yale makundi yanayotajwa hapa yalikuwako kikweli katika siku ya Yohana. Yote yalikuwa katika Esia Ndogo, ng’ambo tu ya bahari kutoka Patmosi. Yalikuwa yenye kuwasilikana kwa urahisi yenyewe kwa yenyewe kwa njia ya barabara bora zaidi za Kiroma zilizokuwako katika eneo hilo. Mjumbe hangalipata shida ya kupeleka hati-kunjo kutoka kundi moja kwenda lifuatalo. Makundi saba haya yangelingana na sehemu ya mzunguko wa ki-siku-hizi wa Mashahidi wa Yehova.

  • Yohana Aona Yesu Aliyetukuzwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • [Picha katika ukurasa wa 23]

      Masalio ya uchimbuzi wa vitu vya kale ya majiji ambako yale makundi saba yalikuwa yanathibitisha maandishi ya Biblia. Ni huku Wakristo wa karne ya kwanza walikopokea jumbe zenye kutia moyo za Yesu ambazo leo zinaaamsha kundi la ulimwenguni pote

      PARGAMAMU

      SMIRNA

      THIATIRA

      SARDISI

      EFESO

      FILADELFIA

      LAODIKIA

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki