-
Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya BwanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
na nyota zote za mbingu zikaanguka kwenye dunia, kama vile wakati mtini unapotikiswa na upepo mkali hurusha tini zao zisizoiva.” (Ufunuo 6:12b, 13, NW)
-
-
Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya BwanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nyota zao mashuhuri za kilimwengu zitazimwa kama vimondo viangukavyo ghafula na zitatawanywa kama tini zisizoiva katika upepo-dhoruba wenye kuvuma.
-
-
Matetemeko ya Dunia Katika Siku ya BwanaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hakungekuwa tena na nuru ya mwezi ya kirafiki na yenye rangi ya fedha usiku! Na zile miriadi za nyota hazingemetameta dhidi ya kisetiri-nyuma cha kimahameli cha anga. Badala ya hivyo, kungekuwa na weusi ti, wenye baridi, usiokoma.—Linga Mathayo 24:29.
-