Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutia Muhuri Israeli wa Mungu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona malaika mwingine akipanda juu kutoka kwenye zukio la jua, akiwa na muhuri wa Mungu anayeishi; na yeye alilia kwa sauti kubwa kwa wale malaika wanne ambao kwao ruhusa ilipewa ya kudhuru dunia na bahari,

  • Kutia Muhuri Israeli wa Mungu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 7:2,

  • Kutia Muhuri Israeli wa Mungu
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 7. Ni nani hasa aliye malaika wa tano, na ni ithibati gani inayotusaidia tuthibitishe utambulisho wake?

      7 Ingawa huyu malaika wa tano hatajwi jina, ithibati yote inaonyesha kwamba lazima awe Bwana Yesu aliyetukuzwa. Kupatana na kuwa kwa Yesu Malaika Mkuu, yeye anaonyeshwa hapa akiwa na mamlaka juu ya wale malaika wengine. (1 Wathesalonike 4:16; Yuda 9) Yeye anapanda juu kutoka mashariki, kama “wafalme kutoka zukio la jua”—Yehova na Kristo wake—ambao wanakuja kutekeleza hukumu, kama walivyofanya wafalme Dario na Sairasi wakati waliponyenyekeza Babuloni wa kale. (Ufunuo 16:12; Isaya 45:1; Yeremia 51:11; Danieli 5:31, NW) Malaika huyu anashabihi Yesu katika njia ya kwamba yeye ameaminishwa kazi ya kutia muhuri Wakristo wapakwa-mafuta. (Waefeso 1:13, 14) Na zaidi, wakati pepo zinapoachiliwa, ni Yesu anayeongoza majeshi ya kimbingu katika kutekeleza hukumu juu ya mataifa. (Ufunuo 19:11-16) Basi, kimantiki, Yesu angekuwa ndiye wa kuamuru kwamba uharibifu kwa tengenezo la kidunia la Shetani uzuiwe mpaka watumwa wa Mungu wawe wametiwa muhuri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki