Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Na hao nzige walipewa ruhusa, si kuua wao, bali kwamba hawa wapaswe kuteswa kwa miezi mitano, na mateso yaliyokuwa juu yao yalikuwa kama mateso ya nge wakati anapopiga mtu.

  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 9:4-

  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 11. (a) Nzige wanapewa mamlaka watese adui za Mungu kwa muda gani, na ni kwa nini kwa kweli huo si muda mfupi? (b) Mateso hayo ni makali kadiri gani?

      11 Mateso huendelea kwa muda wa miezi mitano. Je! huo ni wakati mfupi kadiri hiyo? Si hivyo kwa maoni yanayohusu nzige halisi. Miezi mitano hueleza habari ya muda wa kawaida wa maisha halisi ya mmoja wa wadudu hawa. Kwa sababu hiyo, ingekuwa ni kadiri ya muda wa kuishi kwao kwamba nzige wa ki-siku-hizi wangeendelea kuchoma kwa uchungu adui za Mungu. Zaidi ya hilo, mateso ni makali sana hivi kwamba watu hutafuta kufa. Kweli, sisi hatuna rekodi kuonyesha kwamba wowote wa hao waliochomwa kwa uchungu na nzige kwa kweli walijaribu kujiua wenyewe. Lakini huo usemi husaidia sisi kupata picha ya ukali wa mateso—kana kwamba kwa shambulio lisilokoma la nge.

  • Ole wa Kwanza—Nzige
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 12. Ni kwa nini nzige wanapewa ruhusa ya kutesa viongozi wa kidini wa Jumuiya ya Wakristo katika maana ya kiroho lakini si kuwaua?

      12 Ni kwa nini, kusema kwa njia ya kiroho, ruhusa inapewa kutesa hao na si kuwaua? Huu ni ole wa kwanza katika kufichua uwongo wa Jumuiya ya Wakristo na kushindwa kwayo, lakini ni baadaye tu, kadiri siku ya Bwana iendeleavyo, ndipo hali yayo iliyo kama kifo inapotangazwa peupe kikamili. Itakuwa wakati wa ole wa pili ndipo theluthi ya watu wanauawa.—Ufunuo 1:10; 9:12, 18; 11:14.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki