-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
lakini walikuwa na nywele kama nywele za wanawake. Na meno yao yalikuwa kama yale ya masimba;
-
-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nywele zao ni ndefu kama za mwanamke, ambazo hutoa vizuri picha ya utii wao kwa Mfalme wao, “malaika wa abiso.” Na meno yao hushabihi meno ya simba. Simba hutumia meno yake kurarua nyama. Tangu 1919 na kuendelea, jamii ya Yohana imekuwa ikiweza kutwaa chakula kigumu cha kiroho, hasa zile kweli juu ya Ufalme wa Mungu unaotawalwa na “simba ambaye ni wa kabila la Yuda,” Yesu Kristo. Kama vile simba hufananisha ushujaa, ndivyo ushujaa mwingi umekuwa ukihitajiwa ili kuyeyusha tumboni huu ujumbe wenye kupiga sana, kuutia katika vichapo, na kuugawanya kuzunguka tufe lote.
-