-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
na walikuwa na mabamba-kifua kama mabamba-kifua ya chuma. Na mvumo wa mabawa yao ulikuwa kama mvumo wa magari ya farasi wengi wenye kukimbia kuingia ndani ya pigano.”—Ufunuo 9:7-9, NW.
-
-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
15. Ni jambo gani linalomaanishwa na (a) mabamba-kifua ya chuma ya hao nzige? (b) nyuso kama za wanadamu? (c) nywele kama za wanawake? (d) meno kama yale ya masimba? (e) kufanya kelele nyingi?
15 Katika njozi, hao nzige wana mabamba-kifua ya chuma, kufananisha uadilifu usiovunjika. (Waefeso 6:14-18)
-
-
Ole wa Kwanza—NzigeUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Nzige hao wa kitamathali wamefanyiza kelele nyingi, kama “mvumo wa magari ya farasi wengi wenye kukimbia kuingia ndani ya pigano.” Wakifuata kielelezo cha Wakristo wa karne ya kwanza, wao hawakusudii kukaa kimya.
-