Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ufunuo—I
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 15
    • 1:8, 17—Majina ya cheo “Alfa na Omega” na “wa Kwanza na wa Mwisho” yanamhusu nani?

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ufunuo—I
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Januari 15
    • Yehova anatajwa kuwa “wa kwanza na wa mwisho” katika Ufunuo 22:13, kumaanisha kwamba hakuna mwingine aliyekuwapo kabla yake wala hakutakuwa na mwingine baada yake. Hata hivyo, mistari mingine katika sura ya kwanza ya Ufunuo inaonyesha kwamba katika sura hiyo ya kwanza, jina la cheo “wa Kwanza na wa Mwisho” linamhusu Yesu Kristo. Yeye ndiye mwanadamu wa kwanza kufufuliwa kwenye uhai wa roho usioweza kufa, naye ndiye wa mwisho kufufuliwa kwa njia hiyo na Yehova mwenyewe.—Kol. 1:18.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki