-
Kuhuisha Mashahidi WawiliUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na wao wakasikia sauti kubwa kutoka mbingu ikisema kwao: ‘Njooni juu huku.’ Na wao wakaenda juu ndani ya mbingu kwa wingu na maadui wao wakaona wao.” (Ufunuo 11:11, 12, NW)
-
-
Kuhuisha Mashahidi WawiliUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
25. (a) Ni lini mashahidi wawili walipoambiwa, “Njooni juu huku,” na hilo lilitukiaje? (b) Urudisho wa mashahidi wawili ulikuwa na tokeo gani lenye kushtua jiji kubwa?
25 Jumuiya ya Wakristo ilijaribu tena na tena kurudia ushindi wayo wenye shangwe wa 1918. Ilianza kutumia watu wenye ghasia, kutunga hila kisheria, vifungo vya gereza, hata kunyongwa—lakini wapi! Baada ya 1919 ilikuwa haiwezi kufikia milki ya kiroho ya mashahidi wawili. Katika mwaka huo Yehova alikuwa amesema kwao: “Njooni juu huku,” nao walikuwa wamepanda kwenye hali ya kiroho iliyoinuliwa ambayo maadui wao wangeweza kuwaona lakini hawangeweza kuwagusa.
-