Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • na yeye alikuwa na mimba. Na yeye hupiga kilio kikuu katika uchungu mkali wake ili azae.”—Ufunuo 12:1, 2, NW.

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Pia yeye ana mimba, anavumilia maumivu ya kuzaa. Vilio vyake vya kutaka msaada wa kimungu huonyesha wakati wake wa kuzaa umekuja. Katika Biblia, mara nyingi maumivu ya kuzaa hufananisha kazi ngumu inayohitajiwa ili kutokeza tokeo la maana. (Linga Zaburi 90:2; Mithali 25:23; Isaya 66:7, 8.) Hapana shaka maumivu ya kuzaa ya aina hii yalilipata tengenezo la Yehova la kimbingu lilipojitayarishia uzawa huu wa kihistoria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki