Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na ishara nyingine ikaonekana katika mbingu, na, tazama! drakoni mkubwa wa rangi-moto, mwenye vichwa saba na pembe kumi na juu ya vichwa vyake mataji saba;

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Ufunuo 12:3,

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 8. (a) Ni nini ulio utambulisho wa huyo drakoni mkubwa wa rangi-moto? (b) Ni nini kinachoonyeshwa na drakoni huyo kuwa na vichwa saba, pembe kumi, na taji juu ya kila kichwa?

      8 Drakoni huyu ni Shetani, “nyoka wa awali kabisa.” (Ufunuo 12:9; Mwanzo 3:15, NW) Yeye ni mharabu mwenye ukali—drakoni mwenye vichwa saba, au mmezaji, ambaye anaweza kumeza kabisa windo lake. Anaonekana kigeni kama nini! Hivyo vichwa saba na pembe kumi huonyesha kwamba yeye ndiye mbuni wa hayawani-mwitu wa kisiasa ambaye karibuni ataelezwa habari zake katika Ufunuo sura ya 13. Pia hayawani huyu ana vichwa saba na pembe kumi. Kwa kuwa Shetani ana taji juu ya kila kichwa—vyote saba—sisi tunaweza kuwa na hakika kwamba zile serikali kubwa za ulimwengu zinazowakilishwa katika hayawani-mwitu huyo zimekuwa chini ya utawala wake. (Yohana 16:11) Pembe kumi ni ufananisho wenye kufaa wa ukamili wa mamlaka ambayo yeye ametumia katika ulimwengu huu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki